Habari zenu wanajamvi.
Mwenzenu natafuta kazi ya Udereva wa Magari madogo,kazi kama kuwapeleka na kuwachukua watoto shule,safari za mtu binafsi,kumwendesha Boss,kubeba mizigo au gari la biashara,nina uzoefu wa miaka miwili kwenye udereva.Nina Leseni mpya class B na D.Elimu yangu ni kidato cha sita(Natumia vizuri lugha ya kiingereza na Kiswahili)
Kwa maelezo zaidi niPM.
Nisaidieni ndugu zangu