J JESONS Member Joined Aug 28, 2021 Posts 72 Reaction score 33 Sep 17, 2021 #1 Ndg, zangu niko hapa dar natafuta kazi ya udereva kwa mtu yoyote ambaye anahitaji dereva au kukawa na mtu anaye mjua anatafuta dereva anisaidie namba niwasiliane nae naomba mnisaidie kwa hili
Ndg, zangu niko hapa dar natafuta kazi ya udereva kwa mtu yoyote ambaye anahitaji dereva au kukawa na mtu anaye mjua anatafuta dereva anisaidie namba niwasiliane nae naomba mnisaidie kwa hili