Zile ni ngumu wanazitoa kwa hesabu kubwa sababu ya interest na service ufanye dereva mwenyewe so tafuta pesa ya lejesho tafuta pesa ya mafuta tafuta pesa ya service ya gari iwe ni service kubwa au ndogo tafuta pesa ya kula alafu na pesa ya traffic na ukizingatia ugumu wa hii biashara kwa sasa bola ya mtu binafsi ambayo utampelekea hesabu yake na atafanyia gari service au ata akikupa mkataba utakua wa kawaida auna interest" nimejibu ninavyoelewa kutokana na uzoefu wangu sijamuingilia mtoa post.