Natafuta kazi ya udereva

Natafuta kazi ya udereva

Joined
Jan 7, 2020
Posts
1
Reaction score
1
Mimi ABDALHAMAN ALLY KIPINGU.Nina umri wa miaka 26 ninaishi Dar es Saalam natafuta kazi ya udereva wa magari makubwa na madogo. Nina uzowefu wa miaka saba kutoka na kufanya kazi katika kampun mbalimbali ikiwemo hizi za mtandao yani Uber. Nina zaidi ya myaka 2 niko naendesha Uber hivyo kwa yeyote atakae hitaji dereva kwa kazi yoyote ya halali basi tuwaailiane kwa no 0684320831

Ahsante

Screenshot_20200108-221530_Uber%20Driver.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • 20191104_142807.jpeg
    20191104_142807.jpeg
    55.4 KB · Views: 11
Mimi ABDALHAMAN ALLY KIPINGU.Nina umri wa miaka 26 ninaishi Dar es Saalam natafuta kazi ya udereva wa magari makubwa na madogo. Nina uzowefu wa miaka saba kutoka na kufanya kazi katika kampun mbalimbali ikiwemo hizi za mtandao yani Uber. Nina zaidi ya myaka 2 niko naendesha Uber hivyo kwa yeyote atakae hitaji dereva kwa kazi yoyote ya halali basi tuwaailiane kwa no 0684320831

Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ule mchakato wa CRDB kutoa magari ya mkopo kwa madereva wenye uzoefu na UBER haukufai wewe au vigezo ni vipi mkuu????

Zile ni ngumu wanazitoa kwa hesabu kubwa sababu ya interest na service ufanye dereva mwenyewe so tafuta pesa ya lejesho tafuta pesa ya mafuta tafuta pesa ya service ya gari iwe ni service kubwa au ndogo tafuta pesa ya kula alafu na pesa ya traffic na ukizingatia ugumu wa hii biashara kwa sasa bola ya mtu binafsi ambayo utampelekea hesabu yake na atafanyia gari service au ata akikupa mkataba utakua wa kawaida auna interest" nimejibu ninavyoelewa kutokana na uzoefu wangu sijamuingilia mtoa post.
 
aisee ni balaa tupu hapo, kutoboa ni kazi sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom