W willson robert New Member Feb 11, 2019 1 0 Feb 13, 2019 #1 Nilikuwa naomba msaada Kwa mtu ambaye anajuana na watu wanaosafirisha magari kupeleka mipakani ya IT TRANSPORT anisaidie Nina kila kitu kuhusu kazi hiyo namb zangu hizi 0712423912 Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa naomba msaada Kwa mtu ambaye anajuana na watu wanaosafirisha magari kupeleka mipakani ya IT TRANSPORT anisaidie Nina kila kitu kuhusu kazi hiyo namb zangu hizi 0712423912 Sent using Jamii Forums mobile app
Mbassa jr JF-Expert Member Feb 29, 2016 1,234 3,172 Feb 13, 2019 #2 Kila la kheri mkuu,ila kuwa makini maana kuna matapeli pia wasije wakakuingiza chaka (in aggrey mwanri)
Kila la kheri mkuu,ila kuwa makini maana kuna matapeli pia wasije wakakuingiza chaka (in aggrey mwanri)