Natafuta kazi ya udereva

Natafuta kazi ya udereva

kwenye cheti nimehalalishwa kua na C plain,, ila kwny leseni bado ipo E sababu nilipoenda kusoma ilikuwa nimetoka kurenew leseni mwezi mmoja nyuma,,so kule TRA nimeambia nikae angalau mwaka ndo niende nikabadilishe tena lesen

Sent using Jamii Forums mobile app
Ohooo. Sawa boss.

Unatakiwa kufungua account ajira.go.tz

Kisha utajaza details zako pamoja na nakala za vyeti vyako. Na passport sized pic

Kisha kazi zikitoka ww ni kuaply na kusubiri kuitwa.

Tafuta iyo leseni kwanza
 
Ohooo. Sawa boss.

Unatakiwa kufungua account ajira.go.tz

Kisha utajaza details zako pamoja na nakala za vyeti vyako. Na passport sized pic

Kisha kazi zikitoka ww ni kuaply na kusubiri kuitwa.

Tafuta iyo leseni kwanza
kwa kutumia hii niliyokuwa nayo ClassE siwez fanya ivyo? maana cheti kinaruhusu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom