Natafuta kazi ya udereva

Natafuta kazi ya udereva

Joined
Feb 20, 2018
Posts
6
Reaction score
6
Habari wana jf natafuta kazi ya udereva nakaa dar es salaam Kivule. Gari yoyote kasoro Gari za abiria yani daradara. Mawasiliano yangu 0659487392
 
Unachagua kazi..ningekupa dili la Daladala ila basi tena kwa heri
 
Njoo nikupe fiat la mchanga.kama mtoto wa mama usije lakini maana kona yake na breki inakuwa kama unapiga mwizi vile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom