Natafuta kazi ya udereva

Natafuta kazi ya udereva

frankbosco

Member
Joined
Feb 1, 2018
Posts
12
Reaction score
1
Natafuta kazi ya udereva
Kwa jina naitwa frank bosco
Nina miaka 24
Naishi DSM kimara
Leseni yangu daraja (D)
Nauzoefu wa miaka (2½)
Naendesha manual na auto
Kwa mahitaji tunaweza wasiliana
Kwa no.0785010732

d12171219d6280d482ec99dad3401314.jpg
 
Huwa najiulizaga sana hivi kwa nini kwenye matangazo ya kazi huwa wanaorodhesha kipengele cha kutaka mtu aongee kingereza na kiswahili fasaha...?

Sasa ndio naanza kuelewa aseee. Dah.

HAYA.
 
Jitàhidi usome Advanced driving. Hiyo basic driving haitakusaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom