Natafuta kazi ya udereva

Mzee wa Gwata

Member
Apr 11, 2017
20
6
Wakuu.
Natafuta kazi ya udereva. Nina uzoefu Wa kuendesha Magari makubwa na madogo kwa muda Wa miaka 25. Madaraja ya Leseni yangu ni C1, C3, C3, A, B, D na E. Napatikana Dar es salaam ila mkoa wowote naweza Fanya kazi. Kwa Mara ya mwisho nilikuwa kampuni mojawapo
binafsi ambayo imetetereka kibiashara

NAMBA ya Simu 0712534696

Natanguliza shukurani
 
Pole.Magari madogo ya kwenda porini.4 × 4 unayamudu?Ufundi je?
Magari ya 4x4 nayamudu sana. Nimeendesha 4x4 za aina zote za button za ndani na kuwekea kwenye tairi nje. Ufundi Wa Magari hapana sijasomea ila nikiwa Dereva mzoefu nafahamu na kutambua tatizo la gari
 
Upo vizuri mkuu! usijali kazi utapata hapahapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom