Mimi ni kijana wa kitanzania naish dar es salaam nina elimu ya kidato cha nne, ninaongea vizuri kingereza na nimepitia mafunzo ya udereva VIP grade II pale NIT mabibo.
Nina uzoefu wa kazi hii ya udereva kwa muda wa miaka miwili kumwendesha mbunge wa jimbo la mkinga tanga.
Kwa sasa sina kazi kwa yeyote anayehitaji dereva au kama ni taasisi, shirika ama kampuni naomba tuwasiliane kupitia
0674637243
Nipo tayari kufanya kazi popote tanzania hii au hata nje ya nchi.