rama ngosso
Member
- Oct 11, 2016
- 6
- 0
Mimi ni kijana umri miaka 25 natafuta elimu yangu kidato cha nne natafuta kazi ya udereva magari madogo ikiwemo kumuendesha mtu na kadhalika.
Nina leseni yangu halali ambayo nina uzoefu barabarani kwa miaka mitatu sasa kiukweli naombeni kwa mtu anaehitaji dereva awasiliane na mimi kwa mawasiliano 0653072455