Natafuta kazi ya udereva

Natafuta kazi ya udereva

Sanene

Senior Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
151
Reaction score
17
Natafuta kazi ya udereva Wa kuendesha magari aina zote Nina class C E D tutaarifiane
 
IMG_20160629_113754.jpg
lessen hio
 
Daladala unweza?unitafute nina daldala zangu madreva hawaleti hesabu fanya mpngo unitfye
 
Daladala unweza?unitafute nina daldala zangu madreva hawaleti hesabu fanya mpngo unitfye
Dah! mkuu kumbe hili tatizo si langu peke yangu! yaani madereva hawa sijui wana laana au ni nini jamani?
 
Mkuu nimeona oilcom kama.wametangaza nafasi za maderva pia hebu cheki nao. Fika kituo chochote cha oilcom utapata infor zaidi. Kila.la kheri mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom