Natafuta kazi ya udereva, Nina leseni class E

Natafuta kazi ya udereva, Nina leseni class E

muhcrazy tz

Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
11
Reaction score
0
Mimi kijana wa miaka 23 npo dar es salam
Natafuta kazi ya udereva mwenye uhitaji niko
Nina ujuzi wa ufundi magari wa miaka 3
Madaraja yangu A A2 B D E
Nina elimu ya kidato cha nne nipia nimesomea mafunzo ya veta ufndi magari nikasoma basic driving veta .
 
kuna kampuni inaitwa Gardaworld ipo mikocheni b...kituo kinaitwa kwa mwinyi kampuni hiyo ni ya ulinzi...inahitaji madereva nenda ukiwa na leseni yako orginal, cheti cha shule kuanzia msingi hadi sekondary...vyeti orginal...leseni yako halali kabisa bila kusahau cheti cha kuzaliwa pamoja na namba ya nida au kitambulisho cha nida...kama unavyo vitu hivyo jumatatu fanya uende ukafanye interview...wataarifu na madereva wengine wenye uhitaji
 
Back
Top Bottom