THEGENTLEMAN1996
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 518
- 592
Ndugu katika jf nipo Mwanza natafuta kazi ya udereva nina leseni daraja C
Peleka cv na application letter pale idara ya maji karibu na mahakama ya wilaya ya nyamagana.peleka before tarehe 23.05.2017Ndugu katika jf nipo Mwanza natafuta kazi ya udereva nina leseni daraja C