Hapo kupata hio pesa ndugu yangu... Hapo ndio pagumu kaka... Na kama ingelikua naweza kupata pesa ili niende,.. Nadhani ningetamani kununua kazi hata hapa Arusha... Kweli huko nilisikia, ila hio pesa ya kuniweka huko ni changamoto nyingine hioAndaa vyeti vyako vzr vya udereva..tafuta msaada wa kipesa hata kwa ndugu,nenda Shinyanga katika migodi ya Buzwagi na Kahama mining kule Kakola,wameanza kuajili kidogo kidogo,kama unavyo vumilia shida Arusha nenda kavumilie kusimama kwenye geti la mgodi,wanaoingia na kutoka walilie shida ya kazi,,waTanzania hawana shida sana hutakosa wa kukusaidia
Utaleta mrejesho
Huyuu jamaa hamna kitu kabisaaaaDuuh ,
Unaleta masharti tena ndugu yangu.
Nenda kachape kazi changamoto mtaelezana na boss.
We jamaa una shida.Lakini ni vyema kumuweka mtu wazi kaka,.. Kaka kama riziki ipo ipo tu kaka.. Riziki itachelewa tu ila haitapotea kaka.. Nimeongea ukweli kuliko watu wajue nishapata kumbe bado... Samahani kwa hilo ndugu
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Hauna shida ya kazi wwLakini ni vyema kumuweka mtu wazi kaka,.. Kaka kama riziki ipo ipo tu kaka.. Riziki itachelewa tu ila haitapotea kaka.. Nimeongea ukweli kuliko watu wajue nishapata kumbe bado... Samahani kwa hilo ndugu
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Hapana kaka sio masharti... Kumbuka kama alivyoweka wazi tusije shikana mashati,... Nami naongea ukweli, kazi za hesabu sijawahi... Je? Nisipofikisha hesabu anayo taka.. Si ataniona mwizi... Na kingine naweza kukubali hapa kwenye mke, watu wakajua nimeshapata, kumbe, nimeikataa pembeni... Naitaka sana, ila yeye kaniweka wazi mapema, kwanini nami nisiweke wazi?
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Kuna muda mtu unachakaa hadi watu wanaogopa kukukopesha amini nakwambia...... Haya maisha kuna level unafikia msaada pekee unaopata ni neno POLEPole sanq chief, wakati mwingine huwa tunatumia njia isio sahihi kupata kitu sahihi....kama kuna mahali wanataka héla kidogo upate ajira na una uhakika itapatikana kwann usiongee na marafiki zako wakukopeshe utawalipa mdogo mdogo? kama hawawezi kukupa hapo kuna shida nyingine either hawakuamini au huna marafiki sahihi. Ushauri wangu omba deiwaka maeneo ya stand ndogo au kilombero hapo au hâta nafasi ya ukondakta msaidizi kama sehemu ya kuanzia
Mbona zipo kampuni nyingi za ulinzi ambazo ndio kimbilio la wengi hali ikiwa ngumu..Habari zenu ndugu zangu...
Kwanza niombe radhi kwenu, Ni hali ya maisha kuwa ngumu jamani... Leo nimeona bora nije kwa ndugu zangu humu huenda nikapata msaada ili nipate ridhiki ya kukizi maisha.
Naitwa Rashidi, nipo jijini Arusha. Jamani mwanaume mwenzenu nimekwama kiajira,... Nimemaliza mji wote wa Arusha huu, ni mwezi wa saba sasa sina kazi ya kujishikiza zaidi ya zile unapiga leo unapata buku mbili unaikimbiza kwa watoto.. Afu bora hio buku mbili uipate kila siku iwe afadhali, hapana..
Ndugu zangu??... Taaluma yangu ni udereva, nimetafuta hii nafasi,.. Nimekosa, baadhi ya sehemu wanataka pesa.. Nami hata ya kula na watoto sina....
Kwa wewe ndugu yangu kama unayo nafasi ya udereva gari lolote,.. Hususan ya mizigo.. Nipo Tayari kuja mkoa wowote, leseni yangu ni Class C, na ina vyeti vyake
Jamani wanaume wenzangu, Tusaidiane, mwanaume mwenzenu nimeshikika.
Waswahili wanasema mficha uchi hazai.... MIMI LEO NIMEUONYESHA NIZAE. nisaidie ndugu zangu... Ikipatikana tofauti na udereva pia nitafanya ili familia ipate kula
ASANTENI SANA. NITAMSHUKURU MWENYE KUNISAIDIA. NA MWENYE KUNIPA MAWAZO MAZURI YA KIMAISHA