Golden Trust
Member
- Jan 21, 2023
- 48
- 88
Habari wakuu,
Kama kichwa kinavyosema, natafuta kazi ya udereva, umri miaka 24, uzoefu miaka 3 leseni class D, Nimepitia chuo cha mafunzo ya udereva, nina cheti cha mafunzo na leseni pia.
Nina uzoefu na uelewa wa sheria na alama za barabarani, najua matengenezo madogo ya gari, nina ujuzi wa kushughulikiwa wateja au abiria kwa heshima na weredi, kuendesha gari katika hali mbalimbali za hewa ( ukungu,mvua,usiku)
Kuwajibika na kuhakikisha gari la mwajiri linatunzwa vizuri na kurudishwa katika hali nzuri, pamoja na kufanya ukaguzi wa kila siku.matumizi ya ramani au vifaa vya GPS kufika maeneo kwa haraka na kwa usahihi. Sina historia yoyote ya ajali wala kufungwa
Elimu kidato cha sita. Iwe udereva binafsi au biashara kwa magari madogo ya mizigo gari yoyote automatic au manual
0738232390