Natafuta kazi ya uandishi wa habari

Malto Stunt

Member
Jun 25, 2015
14
1
Msaada wanajamii..

Nina diploma ya Journalism natafuta mchongo mkoa wowote. Kama kuna mtu anaweza kunisaidia au unafahamiana na mtu mwenye nafasi hiyo plz do it.

My e-mail: stuntm36@gmail.com

Asanteni..
 
Msaada wanajamii..
Nina diploma ya Journalism natafuta mchongo mkoa wowote.
kama kuna mtu anaweza kunisaidia au unafahamiana na mtu mwenye nafasi hiyo plzzzz do it
asanten..
my e mail: stuntm36@gmail.com
eti natafuta kazi ya journalist sema kazi ya journalism,siku hizi hatuitaji kuwa na cheti au diploma kufanya hiyo kazi hata form four leaver anawea kufanya,kama waandishi wenyewe ndio manasema kifaru chaibwa unategemeaa nini
 
eti natafuta kazi ya journalist sema kazi ya journalism,siku hizi hatuitaji kuwa na cheti au diploma kufanya hiyo kazi hata form four leaver anawea kufanya,kama waandishi wenyewe ndio manasema kifaru chaibwa unategemeaa nini makanjanja nyie
wewe umepachikwa tu ndo maana ukuambiwa ulete cheti umeingia na barua ya mtendaji mwache mwenzako atafute
 
Nenda kwa Alex Msama kafukuza edita wake baaada ya zigo la kifaru kumuelemea
 
Msaada wanajamii..

Nina diploma ya Journalism natafuta mchongo mkoa wowote. Kama kuna mtu anaweza kunisaidia au unafahamiana na mtu mwenye nafasi hiyo plz do it.

My e-mail: stuntm36@gmail.com

Asanteni..
Usitafute kazi, anza kufanya kazi mitandao kibaoo unashindwa kuanzisha hata page, blog, tv channel, website. ANGALIZO. Kama una hobby ya kufanya hizi kazi
 
Back
Top Bottom