Hapa ndo tunaporudi nyuma waafrika.. Yaan nchi za wenzetu mtu miaka 19 ameshamaliza advance level na anafanya kazi ya maana inayomuingizia kipato cha kutosha.. Hata anapofikia miaka 25 anakua ameshasettle down.. Lakini sisi waafrika mtu unaanza kazi unamiaka 29.. Tutatoka kweli kimaisha sisi..