Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,186
- 3,418
Mimi nina shahada ya kwanza ya ualimu,masomo ya kufundishia ni kiswahili na kiingeleza.Tafadhali anayeweza kunisaidia kupata shule binafsi ani PM
chuo gan funguka.... jina la chuo linamata...
mwaka gan umemaliza
experience... hvyo ndio watu wanavyojitangaza...
kiingeleza ndo nini?
Hongera kwa kuhitimu na pia pole kwani ajira hata ya ualimu imekuwa ngumu kishenx kwa sasa,washkaji zangu huu ni mwaka wa 3 wanaranda tu mitaani, vischools vya kupigia tempo vipo ila malipo ndo kesi!! kama kuna uwezekano wa kuanzisha katuition room anzisha kwani vinalipa!!
kiingeleza ndo nini?
Vp hupangiwa na serikali?