Wernery G Kapinga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 381
- 131
Vyeti kama Dhamana kivipiNi mwalimu wa Geography, Civics na Kiswahili. Nataka kufanya kazi shule za privates kwa mkataba mrefu na nipo tayari kuweka vyeti vyangu kama dhamana. Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote hapa nchini. Kwa sasa nipo Njombe. Mawasiliano ni 0754004189
Pole sana yaani unatoa vyeti vyako original kwa mwajiri ili kulinda mkataba?? Hapa ndipo nashindwaga kuelewa kwa mini watu wa taaluma yako mnajiona mupo wanyonge sana.Yaani nakupa vyeti original kulinda mkataba
Kwa nini iwe kama umekopa wakati umeajiriwa?Yaani nakupa vyeti original kulinda mkataba
Wewe ni mwalimu wa geography,civics na kiswahili???hiyo degree/diploma ya kufundisha masomo yote hayo matatu umeipata chuo gani??Ni mwalimu wa Geography, Civics na Kiswahili. Nataka kufanya kazi shule za privates kwa mkataba mrefu na nipo tayari kuweka vyeti vyangu kama dhamana. Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote hapa nchini. Kwa sasa nipo Njombe. Mawasiliano ni 0754004189
Kumbe unataka ubadili kituo cha kazi???!Naona nyie ndo hamjielewi...unadhani mi ndo Mara ya kwanza kufanya kazi ya ualimu..? Nimeshafanya kazi huu mwaka wa nne na mkataba wa cheti original nimeshafanya sana. Hii naamua mm kutokana na maslai. Na wewe unayeshangaa chuo ndo umepotea kabisa. Hivi hujui watu wanafanya kazi ya kufundisha wakati huo ni six na four leaver ? So experience ndo inamatter
Hata Kama ndio mazoea yako ya kuweka dhamana vyeti original sio vizur IPO siku utayakumbuka maneno ya members wa JF siku ukipata boss mnyanyasaji na vyeti vyako Original vipo kwake utaisoma nambaNaona nyie ndo hamjielewi...unadhani mi ndo Mara ya kwanza kufanya kazi ya ualimu..? Nimeshafanya kazi huu mwaka wa nne na mkataba wa cheti original nimeshafanya sana. Hii naamua mm kutokana na maslai. Na wewe unayeshangaa chuo ndo umepotea kabisa. Hivi hujui watu wanafanya kazi ya kufundisha wakati huo ni six na four leaver ? So experience ndo inamatter
Sio jambo la ajabu, huyu atakua mwl wa Geo na Kiswahili na kumbuka Civics inawezwa kufundishwa na mwl yeyote hasa hawa wa masomo ya sanaa.Wewe ni mwalimu wa geography,civics na kiswahili???hiyo degree/diploma ya kufundisha masomo yote hayo matatu umeipata chuo gani??
Acha huo mchezo mwalimu vyeti vyako ni muhimu kuliko, Hivi mtu akivipoteza?au upo tayari kwa samahaniNaona nyie ndo hamjielewi...unadhani mi ndo Mara ya kwanza kufanya kazi ya ualimu..? Nimeshafanya kazi huu mwaka wa nne na mkataba wa cheti original nimeshafanya sana. Hii naamua mm kutokana na maslai. Na wewe unayeshangaa chuo ndo umepotea kabisa. Hivi hujui watu wanafanya kazi ya kufundisha wakati huo ni six na four leaver ? So experience ndo inamatter
Eti civics inaweza fundishwa na mwalimu yoyote...nani kakudanganya...civics ni somo kama masomo mengine na ili ikalifundishe lazima ukalisomee chuo usidhani walioliweka kwenye mitaala vyuoni ni wajinga...alafu huo utaratibu unaosema mtu diploma kasomea kufundisha labda kiswahili na geography alafu aende degree kusomea history na kiswahili huo utaratibu upo chuo gani...or unachuo ulichokianzisha wewe chenye huo utaratibu...msitake kulipua lipua mambo lazima tufuate utaratibu njaanjaa hizi zisisababishe mtu akajifanya ni mwalimu wa masomo yote alafu wanatokea watu kama wewe ku support uongoSio jambo la ajabu, huyu atakua mwl wa Geo na Kiswahili na kumbuka Civics inawezwa kufundishwa na mwl yeyote hasa hawa wa masomo ya sanaa.
Lakini pia mwl alieupgrade kutoka diploma then akaenda degree anaweza kusomea hayo masomo 3. Kwa mfano Diploma alisomea Geo na Kisw lakini alipokwenda kuchukua degree akasomea Hist na geo as minor au kisw, utaona kwamba huyu ana masomo 3
Ukifika kazini inategemea, kuna shule nyingine wanataka mwl afundishe somo moja pekee, nyingine wanataka afundishe 2
Watu wengine kwa ubishi mmeshindikana!.Eti civics inaweza fundishwa na mwalimu yoyote...nani kakudanganya...civics ni somo kama masomo mengine na ili ikalifundishe lazima ukalisomee chuo usidhani walioliweka kwenye mitaala vyuoni ni wajinga...alafu huo utaratibu unaosema mtu diploma kasomea kufundisha labda kiswahili na geography alafu aende degree kusomea history na kiswahili huo utaratibu upo chuo gani...or unachuo ulichokianzisha wewe chenye huo utaratibu...msitake kulipua lipua mambo lazima tufuate utaratibu njaanjaa hizi zisisababishe mtu akajifanya ni mwalimu wa masomo yote alafu wanatokea watu kama wewe ku support uongo
kabisaa mkuu sina shaka we ni mwalimu hasaa..[emoji106] [emoji106]Watu wengine kwa ubishi mmeshindikana!.
Mtu alimaliza form 6 combination HGK halafu masomo yote kafaulu. Akaamua kwenda kusoma diploma ya ualimu kwa kawaida masomo ya kufundishia ni mawili, akaamua asomee Hist na Geog, alipomaliza chuo akaajiriwa akafanya kazi miaka yake kadhaa, baadae akaamua ajiendeleze, kufika chuo kikuu akaamua asomee History as a major halafu minor akachukua Kiswahili....hakuna tatizo hapo.
Civics hufundishwa katika baadhi ya vyuo, vyuo vingine wanasomea political science.
Kama ikitokea shuleni pale hakuna mtu aliesomea kozi hizo na lazima somo lifundishwe, mnafanyaje? Civics sio Physics..... Atapewa mwl yeyote mwenye history au hata geography.