Wakati wa uchaguzi 2015 we ulikuwa CCM au UKAWA?? Hi ndo interview yako
Ok kijana ushafeli interview yangu..ilikuwa rahisi mnoo..cku nyingine jibu swali kiukweli toka moyoni...wait wadau wengine wanaweza kukuunganishatuache maswala ya kiitikadi hapa jamani au soma post zangu humu has a jukwaaa la sasa ndio itakua itikadi yangu ila haryana msingi wowote ile sisi watoto wa masikini ndio tunao isoma namba maana tulikimbilia ualimu kwa sababu wazazi hawana uwezo mungu ndio anae hua.
baada ya kuripoti kuhusu highland estate ukaamua kusepaOK kipara feki mi nipo tabora
Mbona wadau masihala mengi wakat mwenzen anatafuta kaz!baada ya kuripoti kuhusu highland estate ukaamua kusepa
mbona wewe hujamsaidia kama upo seriousMbona wadau masihala mengi wakat mwenzen anatafuta kaz!
Tujitahdn bas kupunguza utan kweny issue muhimu