queen Mimi
Member
- Oct 17, 2016
- 9
- 4
Habari wanajamii forum,
kaka yangu anatafuta kazi ya ualimu shule za private..asante
kaka yangu anatafuta kazi ya ualimu shule za private..asante
ndioAmesomea ualimu...?
Shule zako nyingi na kipindi hichi ndio Judaism wenyewe....ndio
I hope atapataShule zako nyingi na kipindi hichi ndio Judaism wenyewe....
stashahadaAna elimu ya kiwango gani,shahada au stashahada?
Masomo gani? Kama ni Maths au Physics niPm chap.stashahada
masomo ya english na history...asante thou, for your concern.Masomo gani? Kama ni Maths au Physics niPm chap.
bado, ameitwa kwenye usahili shule fulani ..i hope atapataBado hajapata kazi?