natafuta kazi ya ualimu physics and mathematics

Hongera sana kwa kufanya vizuri kwenye masomo yako, nakutakia kila la kheri sana katika utafutaji wako.
 
.
 
Peleka maombi kwa shule ambazo ziko karibu na wewe,utapata kazi....mara nyingi 'interview' zao unakabiziwa darasa na wanaangalia uwezo wako wa kuwasilisha mada pamoja na uwezo wa kumudu darasa.Pia jiandae ku-solve 'impossible qns'
 
nishafanya hivyo kaka Bado nasubiri subiri kusolve matango mbona sio tatizo siunajuana Siri ya ualimu ni kusoma unakuwa beyond learner haina tatizo sijawahi kufundisha mtoto asielewe hata mtu yeyote for sure sio Kama najisifia nipo vizur
 
Ukikosa kabisa kwa Dar kama una fedha ya kufanya survey,nenda Mkoa wa kilimanjaro maeneo ya milimani n.k utafanikisha....masomo yako yana soko bado.
 
Ni kweli kaka lakini maisha ya sasa hivi hata Kama unauwezo kiasi gani lazima kuna mtu akushike mkono ndo maana nimekuja kwenye hi platform najua nitaweza kupata connection ndugu yangu hata wewe unaweza kunisaidia nahidi sitakuangusha ndugu yangu
 
Unasumbua watu tu, eti Mimi ni best student, mtaani hakuna cha best student au best pupil mwendo ni kupambana , hizi ni swaga za kishamba kabisa sijapata kuona
 
Peleka maombi kwa shule ambazo ziko karibu na wewe,utapata kazi....mara nyingi 'interview' zao unakabiziwa darasa na wanaangalia uwezo wako wa kuwasilisha mada pamoja na uwezo wa kumudu darasa.Pia jiandae ku-solve 'impossible qns'
Mkuu sikuhizi mambo yamebadilika sana,kazi ni mpaka ujuane na watu hivihivi kupata kazi ni bahati sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…