umemaliza. Chuo ganiHabari yenu wakuu,elimu yangu ni shahada ya kwanza ya elimu katika masomo ya mathematics&geography.Natafuta kazi ya kufundisha katika shule ya sekondari private yoyote tanzania(O-level or A-level or Chuo chochote cha diploma).Mtu yoyote anayeweza kunisaidia or kuniunganisha na mtu or shule yenye uhitaji wa mwalimu wa hayo masomo anaweza ni PM kwa details zaidi.
Ninakaribisha michango yenu ya mawazo na hata kuni challenge mnaruhusiwa....ahsanteni
poa kaka pakitokea pengine nitakujulisha broMkuu wamenambia wanahitaji wa masomo mawili math&physics na mimi namiss physics hapo
Nitashukuru sana mkuu,ubarikiwe
Asante kwa kuonyesha wema wako wa kujali wengine.poa kaka pakitokea pengine nitakujulisha bro
mawazo mazuri sana nimepata kitu hapoKodi chumba cha kutumia kama darasa maeneo karibu na shule za sekondari, hasa maeneo ya mijini...fungua kituo cha kufundisha masomo hayo kwa muda wa ziada kwa wanafunzi. Weka bei inayokidhi mahitaji ya kulipia chumba na ya kwako binafsi kwa hali ya chini kabisa na faida ya asilimia 0.5. Hakikisha unatumia ujuzi wako wote kuwafundisha wanafunzi kuelewa nao waelewe. Nina kupa miezi sita utaanza kupanga shifti za wanafunzi wa kufundisha. Lakini kumbuka wewe malengo yako ni baadaye yawe kuanzisha shule yako binafsi inayotambulika na iliyosajiliwa na serikali yaani shule ya sekondari baadaye chuo cha kati na chuo kikuu. Inawezekana.
Hii ndiyo 'challenge' ninayokupa kwa sasa.
Kama chuo ulichosoma tu huwezi kiukitaja sidhani kama wakuu wa jf watakuelewaMkuu nime ku PM
Habari kaka nimesomea Kiswahili na history unaeza nisaidia??poa kaka pakitokea pengine nitakujulisha bro