Emmanuel kinemela Member Joined Jun 30, 2016 Posts 5 Reaction score 2 Jul 13, 2016 #1 Habarini wakuu, Natafuta kazi ya u-storekeeper. Nina uzoefu wa kufanya kazi hii kwa mwaka mmoja. Natanguliza shukrani. Emmanuel kinemela said: Nina elimu ngazi ya cheti mambo ya ugavi!! Natafuta kazi NB: Kazi yyte inayohusu masuala ya uangalizi wa store nafanya Click to expand...
Habarini wakuu, Natafuta kazi ya u-storekeeper. Nina uzoefu wa kufanya kazi hii kwa mwaka mmoja. Natanguliza shukrani. Emmanuel kinemela said: Nina elimu ngazi ya cheti mambo ya ugavi!! Natafuta kazi NB: Kazi yyte inayohusu masuala ya uangalizi wa store nafanya Click to expand...
Queen V JF-Expert Member Joined Jan 19, 2012 Posts 777 Reaction score 1,337 Jul 13, 2016 #2 Una elimu gani?
I island JF-Expert Member Joined Nov 26, 2013 Posts 1,065 Reaction score 836 Jul 17, 2016 #3 Emmanuel kinemela said: Habarini wakuu, Natafuta kazi ya u-storekeeper. Nina uzoefu wa kufanya kazi hii kwa mwaka mmoja. Natanguliza shukrani. Click to expand... Nitumie no yako PM
Emmanuel kinemela said: Habarini wakuu, Natafuta kazi ya u-storekeeper. Nina uzoefu wa kufanya kazi hii kwa mwaka mmoja. Natanguliza shukrani. Click to expand... Nitumie no yako PM