Natafuta kazi ya stationary

Natafuta kazi ya stationary

MAANAX

Member
Joined
Dec 9, 2012
Posts
36
Reaction score
2
Nipo DSM nina miaka 20 nimesomea microsoft word, powerpoint, excell, publisher, internet nk. Mshahara nataka 150,000/= na mahitaji yote nipate kwa anayeniajili. Napatikana 0757191544.
 
Unatanguliza kiasi mshahara kazi hujaona bado?
 
Nipo DSM nina miaka 20 nimesomea microsoft word, powerpoint, excell, publisher, internet nk. Mshahara nataka 150,000/= na mahitaji yote nipate kwa anayeniajili. Napatikana 0757191544.

Mahitaji yote!
 
Nipo DSM nina miaka 20 nimesomea microsoft word, powerpoint, excell, publisher, internet nk. Mshahara nataka 150,000/= na mahitaji yote nipate kwa anayeniajili. Napatikana 0757191544.

Maanax nimependa sana umevyopost.
Maana wengine kutaja mshahara ni tatizo kweli.Sijaona tatizo kutaja mshahara,maana hata matangazo ya ajira huwa yanawekwa mashahra,sasa kwanini muajiriwa na yeye asiseme na kuweka wazi.
Sasa suala la mahitaji yote upate kwa muajiri,hapo ndio sielewi.
Kula?Kulala?mahitaji ya kibailojia?kindoa? nk
Hembu weka wazi.
 
Unatafuta mume au kazi? Mshahara maana yake nini kama mwajiri atakugharimia mahitaji mengine?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom