Natafuta kazi ya stationary

Natafuta kazi ya stationary

MAANAX

Member
Joined
Dec 9, 2012
Posts
36
Reaction score
2
Mimi ni kijana nimemaliza form 4 natafuta kazi mojawapo kati ya hizi, stationary, au kuuza duka. Nimesomea computer pamoja na masomo ya biashara yaani commerce na book-keeping kwa sababu hiyo nina uzoefu mkubwa sana na kazi hizo.

Nipo Dar maeneo ya kigogo. Mawasiliano yangu 0756525889. Atakayeona tangazo hili anisaidie kumwarifu na mwenzake. Asante.
 
Mimi ni kijana nimemaliza form 4 natafuta kazi mojawapo kati ya hizi, stationary, au kuuza duka. Nimesomea computer pamoja na masomo ya biashara yaani commerce na book-keeping kwa sababu hiyo nina uzoefu mkubwa sana na kazi hizo. Nipo maeneo ya kigogo. Mawasiliano yangu 0756525889. Atakayeona tangazo hili anisaidie kumwarifu na mwenzake. Asante.

*stationary = stationery
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom