Natafuta kazi ya stationary

Natafuta kazi ya stationary

Lady Maira

Member
Joined
Jan 11, 2018
Posts
19
Reaction score
5
Elimu yangu ni form 4, nimesomea computer course, na nina uzoefu wa kazi ya stationary kwa miaka 3, naishi Dar es salaam, anaehitaji binti wa kazi nipo tayar, 0715 917427
 
Umemaliza mwaka Gan hiyo form four
 
Elimu yangu ni form 4, nimesomea computer course, na nina uzoefu wa kazi ya stationary kwa miaka 3, naishi Dar es salaam, anaehitaji binti wa kazi nipo tayar, 0715 917427
USHAURI: Kwa kuwa miongoni mwa majukumu katika kazi uiombayo yaweza kuwa TYPING ninakushauri utenge muda wa ziada UONGEZE MAARIFA YA ENGLISH LANGUAGE ....

Kwa uzoefu wa miaka 3 katika kazi naamini utakuwa ushaelewa UMUHIMU wa kuwa na uelewa zaidi wa hiyo lugha ... pia CHANGAMOTO zimpatazo yule asoielewa vizuri hiyo LUGHA ya MALKIA ...

Mie naanza na msaada wa neno STATIONARY .... yapaswa iwe STATIONERY kisha ongeza neno CENTRE .... kwa wale wajuvi wa lugha watakuwa wamenielewa ...

Neno STATIONERY halimaanishi HUDUMA ama SEHEMU ifanyikapo Huduma hiyo bali lamaanisha VIFAA vya SHULE ama OFISI ... na mtu afanyaye kazi ndani ya stationery centre kama ulivyokuwa wewe huitwa STATIONER ...

By the way nakutakia MAFANIKIO katika UTAFUTAJI wako ...
 
Tying error
 
Elimu yangu ni form 4, nimesomea computer course, na nina uzoefu wa kazi ya stationary kwa miaka 3, naishi Dar es salaam, anaehitaji binti wa kazi nipo tayar, 0715 917427
HV n stationary au stationery???
 
HV n stationary au stationery???
The 'latter' is correct but something like 'centre' should be added so as to create a SENSIBLE meaning ...

'Kiingilishi' ni kigumu kiongozi ... wee acha tu ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom