Kwa kuwa hujasema kitu kuhusu hiyo dayworker
Ebu Jaribu kwenye kiwanda cha dengesela
Ingia stendi kunawapiga debe buku saba kwa siku
Nenda kwa mbele ya Marine hotel Kuna mjengo wanajenga Hapo ulizia
Fatilia Tanroad na Tansce Mida asubuhi ulizia kama kuna deal .