Natafuta kazi ya Security Officer

Natafuta kazi ya Security Officer

Big Mwandu

New Member
Joined
Jan 10, 2019
Posts
2
Reaction score
7
Jamani ndugu mwenye connections ninauzoefu wa masuala ya security kiujumla kuongoza mitambo ya CCTV na kadhalika natafuta kazi hiyo.

Nina ujuzi wakutosha kufanya kazi hiyo kwa maslahi ya mmiliki mali kwa mafanikio zaidi bila uharibifu au wizi wa mali kwa sababu ya mtu mwenye kusudi la kuharibu ah mwalifu.

Napatikana kwa namba hii 0718 741 754 ,tusaidiane ndugu wenye connections.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom