Natafuta kazi ya saluni

linah smile

Member
Joined
Apr 4, 2017
Posts
84
Reaction score
57
Naitwa linah nipo mwanza Nina umri wa miaka ishirini na mbili natafuta kazi ya saloon
 
Naitwa linah nipo mwanza Nina umri wa miaka ishirini na mbili natafuta kazi ya saloon
Saloon yangu si muda inakamilika,vipi ikiwa nitafungua kisha ukawepo kufanya kazi,japo ni nje ya mkoa uliopo.?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…