Natafuta Kazi ya Sales (B2B)

Natafuta Kazi ya Sales (B2B)

dr_vivo_dar

Member
Joined
Mar 15, 2022
Posts
17
Reaction score
12
Unatafuta mtu wa sales?

Kampuni yako inakuwa kwa kasi na unahitaji watu wa kukusaidia kupanua soko?

Uwezo wangu ni kuuza bidhaa kwa makampuni. Nina uzoefu wa miaka mitano.

Kama kampuni yako inaajiri au unajua mtu anayeajiri nicheki. Nitakusaidia kupata wateja kwa haraka. Malipo yawe mshahara na commissions.
 
Namba yangu
0767 557 419
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom