okaay can you state your age if possible
wapi unapatikana?
Mikoani Shy? Au typing error??Kama unaweza fanya kazi mikoani shinyanga nivutie waya faster.
Mikoani Shy? Au typing error??
Kama unaweza fanya kazi mikoani shinyanga nivutie waya faster.
Habari zenu wana JF. Mimi naomba msaada wenu kama Kuna mtu anaweza nisaidia kupata kazi tajwa hapo juu. Nina uzoefu WA miaka 2. Na pia ni graduate WA Business Administration. Kwa yeyote naomba ani pm. Nawakilisha.