Anatafuta kazi ya nursing msichana ana umri wa miaka 20 elimu yake kidato cha nne,ana certificate ya nurse attendant,anauzoefu wa miaka 3,ni mchapakazi hodari.
msaudueni mdogo wangu jamani amechoka kujitolea kwa muda mrefu sasa anahitaji kuajiriwa.

Huyo mtu ndugu yako form four alipata matokeo mazuri coz kuna watoto wengi nimewah kukutana na hizo kesi wamesoma certificate ya nursing wakati walipata zero hata D ya biology unakuta hawana so kama vp hatuhakikishie kama hakupata division five tujue namna ya kumsaidia