shaa wa ham
Member
- Jan 22, 2014
- 10
- 6
Anatafuta kazi ya nursing msichana ana umri wa miaka 20 elimu yake kidato cha nne,ana certificate ya nurse attendant,anauzoefu wa miaka 3,ni mchapakazi hodari.
msaudueni mdogo wangu jamani amechoka kujitolea kwa muda mrefu sasa anahitaji kuajiriwa.
msaudueni mdogo wangu jamani amechoka kujitolea kwa muda mrefu sasa anahitaji kuajiriwa.