Natafuta kazi ya nursery school

Natafuta kazi ya nursery school

jarnee

Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
8
Reaction score
1
habar! naitwa JANET,mm ni mwalimu wa NURSERY nilikua nafundisha shule moja inaitwa ENJOY'S iliyopo DODOMA.lkn kwa sasa nimeamia DAR hivyo natafuta kazi.Nimetuma application kwenye shule mbalimbali lkn bado sijafanikiwa. Naomba msaada wenu
 
kwanini usijiajili kwa kuanza kuwafundisha watoto wa hapo mtaa kwa bei nafu. Na ukishajenga jina unapandisha na baadae unaanzisha shule yako
 
mtaa ninaokaa tayari kuna shule mbili za bei nafuu na pia watoto hapa mtaani ni wachache ambao wanasoma.wazo hilo nimejitahid kulifanyia kaz lkn sikufanikiwa.plz help me friends
 
habar! naitwa JANET,mm ni mwalimu wa NURSERY nilikua nafundisha shule moja inaitwa ENJOY'S iliyopo DODOMA.lkn kwa sasa nimeamia DAR hivyo natafuta kazi.Nimetuma application kwenye shule mbalimbali lkn bado sijafanikiwa. Naomba msaada wenu

ungependa pia kufundisha watoto private lessons?unahitaji kulipwa sh. ngapi kwa private lessons kama uko tayari?
 
huyo mwanafunz ni atakuwa anakuja nyumban kwang au mm namfuata alipo?itategemea na eneo mtu alipo kama ni mbali au karibu na makazi yngu tutaelewana malipo.
 
kua makini na matapeli wa mapenzi dada yangu kipenzi

worry out friend.ahsante kwa kunijali, niko makini coz mambo hayo yalinitikea maeneo ya tabata.lkn nilikuwa radhi kukosa kazi coz naipenda ndoa yangu
 
English inapanda? Kama inapanda utataka kulipwa mshahara sh. ngap? Muda wa kazi mbili mpaka saa kumi. Kama upo tayari nipm nikueleze chakufanya
 
habar! naitwa JANET,mm ni mwalimu wa NURSERY nilikua nafundisha shule moja inaitwa ENJOY'S iliyopo DODOMA.lkn kwa sasa nimeamia DAR hivyo natafuta kazi.Nimetuma application kwenye shule mbalimbali lkn bado sijafanikiwa. Naomba msaada wenu

Mimi nakaa yombo vituka ila mtaani kwetu tunatatizo la shule za na Nursery kama huko serious nipe mawasiliano ili tuongee zaidi. Mimi mwenyewe nashida sana ya walimu wa nursery. Asante
 
habar! naitwa JANET,mm ni mwalimu wa NURSERY nilikua nafundisha shule moja inaitwa ENJOY'S iliyopo DODOMA.lkn kwa sasa nimeamia DAR hivyo natafuta kazi.Nimetuma application kwenye shule mbalimbali lkn bado sijafanikiwa. Naomba msaada wenu

Call 0784593005
Nitakuunganisha na mama watoto (kwa sababu mtakuwa naye karibu kwa support)
Tutatafuta na vitoto vingine hata viwili/ vitatu hivi.
Tunahitaji kwanza uje utuambie ni nini vitahitajika
 
Back
Top Bottom