Natafuta kazi ya Muda

Natafuta kazi ya Muda

Fatina00

Member
Joined
Jan 10, 2015
Posts
9
Reaction score
0
Mimi ni msichana Wa miaka 23 natafuta kazi yoyote ya part time kwani bado nasoma naombeni msaada wenu wana jamii ili niweze kufanikisha elimu yangu
 
Mdogo wangu unapoandka uzi kama huu wako usisahau yafuatayo. Unasoma ndyo Elimu ipi ya Dini au Jamii/Mazingira? Na kiwango gan cha elimu? Pia usisahau ukishasema unasoma bas ujue mwajiri atajua hauko tayar kufanya kaz had umalize masomo. Ni ushauri tu.
 
Mimi ni msichana Wa miaka 23 natafuta kazi yoyote ya part time kwani bado nasoma naombeni msaada wenu wana jamii ili niweze kufanikisha elimu yangu

Uko wap na unasomea nini?

Njoo "PM". Usisahau kuweka PICHA YAKO. Muhimu!
 
Nipo dar es salaam na soma journalism na Nina uzoefufu Wa computer
 
Jamani wana jamii naombebni msaada wenu sana ya hiyo kazi ya part time tu nitafanya vinzuri
 
Nikutafute kwa nini QUOTE=masenga1122;11757099]Ntafute[/QUOTE]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom