B bern chuwa Member Jun 30, 2016 6 0 Jul 17, 2016 #1 Habarini wakuu, Nina elimu ya VETA miaka mitatu grade one na form 4 na nina experience ya miaka mitatu. Natanguliza shukrani.
Habarini wakuu, Nina elimu ya VETA miaka mitatu grade one na form 4 na nina experience ya miaka mitatu. Natanguliza shukrani.
Askari Muoga JF-Expert Member Oct 22, 2015 6,113 4,652 Jul 17, 2016 #2 Ngoja polisi au nenda jkt fundi akifa njaa n uzembe mkubwa
Rohombaya JF-Expert Member Jul 4, 2011 13,056 10,342 Jul 17, 2016 #3 bern chuwa said: Nina elim ya veta miaka mi tatu grad one na form 4 na nina expiriens ya miaka mi 3 Click to expand... Dah kwa uandishi huu naona bolt na nuts zitabaki nyingi tu ukifungua injini
bern chuwa said: Nina elim ya veta miaka mi tatu grad one na form 4 na nina expiriens ya miaka mi 3 Click to expand... Dah kwa uandishi huu naona bolt na nuts zitabaki nyingi tu ukifungua injini
B bern chuwa Member Jun 30, 2016 6 0 Jul 17, 2016 Thread starter #4 Rohombaya said: Dah kwa uandishi huu naona bolt na nuts zitabaki nyingi tu ukifungua injini Click to expand... Acha izo fund anaga izo uyo anaye fanya ivo siyo fund
Rohombaya said: Dah kwa uandishi huu naona bolt na nuts zitabaki nyingi tu ukifungua injini Click to expand... Acha izo fund anaga izo uyo anaye fanya ivo siyo fund
Rohombaya JF-Expert Member Jul 4, 2011 13,056 10,342 Jul 19, 2016 #5 bern chuwa said: Acha izo fund anaga izo uyo anaye fanya ivo siyo fund Click to expand... Dah... Kama una acha acha herufi kwanini usiacha bolts na nuts ???
bern chuwa said: Acha izo fund anaga izo uyo anaye fanya ivo siyo fund Click to expand... Dah... Kama una acha acha herufi kwanini usiacha bolts na nuts ???
Mulimila dole JF-Expert Member Jul 15, 2016 226 266 Jul 19, 2016 #6 Rohombaya said: Dah... Kama una acha acha herufi kwanini usiacha bolts na nuts ??? Click to expand... Huyo sio kwamba ana acha herufi bali ana utapiamlo wa misamiati yote ya kiingereza na kiswahili. Form four kweli?
Rohombaya said: Dah... Kama una acha acha herufi kwanini usiacha bolts na nuts ??? Click to expand... Huyo sio kwamba ana acha herufi bali ana utapiamlo wa misamiati yote ya kiingereza na kiswahili. Form four kweli?