kijana13
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,981
- 3,635
Habarini wakuu,Nafuta kazi kwenye maeneo yafuatayo:
1.Microfinance, nina uwezo wa kufanya kazi zote kwenye microfinance yaan kudesign product,guidelines na manuals pia kutoa mikopo na kusimamia urejeshwaji.
2.Ni mtaalamu pia wa Uchumi katika maeneo mbali mbali ikiwemo Econometrics kwa kurun data kwa kutumia STATA na SPSS
3.Mtaalamu pia wa kuandika business plan.
Nina uzoefu wa kazi miaka 4, nina masters ya Economics.Natafuta kazi iwe parttime or fulltime.Asanteni.