Mkuu nina wasi wasi na ufuatiliaji wako wa mambo inaonyesha haufahamu hata mambo ya elimu yanaendaje hebu ingia tcu guidance book ujue ni vyuo vingapi vinatoa degree ya meical lab. sciences hapa nchini kwa taarifa yako ni zaidi ya vyuo vitano ,kcmc cuhas,muhas,imtu,st.francis ifakara na kiu japo hawana quality nzuri.