Natafuta kazi ya Laboratory technician

Kinuju

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2021
Posts
2,384
Reaction score
5,330
Nimehitimu certificate ya maabara na nina uzoefu wa miaka 3 ya kufanya kwenye vituo vya afya mbalimbali.

Kazi iwe wilaya ya Kibaha.

Nitafanya kazi kwa kujituma sana.

Asanteni sana.
 
Nimehitimu certificate ya maabara na nina uzoefu wa miaka 3 ya kufanya kwenye vituo vya afya mbalimbali.
Kazi iwe wilaya ya Kibaha.
Nitafanya kazi kwa kujituma sana
Asanteni sana.
Usichague mahali pa kufanyia kazi. Maisha popote sio kibaha tu.
 
Nenda Lumumba ukiwa na kadi yako utapewa au ID yako ya humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…