Natafuta kazi ya kuvolunteer.

Natafuta kazi ya kuvolunteer.

Habari,
Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, natafuta nafasi yoyote ya kazi nnayoweza kuvolunteer.
Nina degree ya Sociology.

grace.philemon7@gmail.com
Una account linked in?
Kule kuna platform nzuri sana japo unawez a chelewa lakini am sure utapata suruhisho ila kuna post moja sikumbuki kama ni lubasha au magiri kule twitter alituma nafasi za kujitolea jaribu kuachek nao
 
Una account linked in?
Sasa akaunti LinkedIn yanini mzee....je kibongobongo LinkedIn imewahi kukupa kazi unayoitaka....tutofautishe matumizi ya LinkedIn kwa nchi za wenzetu na hapa kwetu...,sisi bado tuna roho ya kwanini... kwetu hapa networks ya LinkedIn is a necessary but not sufficient condition for job hunters to get job....
 
Nilishapata nafasi nyingi ila sikuwa na vigezo kwaiyo nilikuwa najitoa mchezoni mwenyewe au nawapa wengine nafasi ila inafanya kazi vizur ni jinsi ya uchaguzi wa watu ambao unataka kuwaweka kwenye mzunguko wako ilo ndio la msingi kule na uwe pro kule volunteer ni nyingi sana
 
Mimi natafuta nafasi ya kujitolea, Nina Bachelor ya Human Resource Management. Msaada ndugu zangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom