beautiful princess
Member
- Jan 15, 2018
- 79
- 97
Wakubwa shikamoon......wenzang habarin....pia polen na majukum ya hapa na pale......samahan wapendwa nimekuja kwenu na ombi la kazi......mie ni mschana wa miaka23 na nina mtoto nimekuja kwenu nashida ya kimaisha kwaiyo nimeona bora nitafute kazi ambayo itakizi mahitaj yang na ya mwanang.....kwaiyo yeyote anaetambua hiz chaneli ama yey mwenyewe anahitaji nipo tayari....msaada wenu wakubwa kwa mawasiliano napatikana arusha namba ya simu ni 0786887374
Karibuni
Karibuni