Baba Kauthary Member Dec 10, 2018 33 25 Dec 24, 2019 #1 Natafuta kazi kwa yoyote anayejua kampuni inayohusika na urembo wa majumbani (kupiga rangi na skimming) mimi ni fundi uzoefu miaka 6. 0712036133 Sent using Jamii Forums mobile app
Natafuta kazi kwa yoyote anayejua kampuni inayohusika na urembo wa majumbani (kupiga rangi na skimming) mimi ni fundi uzoefu miaka 6. 0712036133 Sent using Jamii Forums mobile app
Da'Vinci JF-Expert Member Dec 1, 2016 35,697 106,861 Dec 24, 2019 #2 Kwahiyo tangazo lako limekamilika na unasubiri kupigiwa simu?
Bella Ciao JF-Expert Member May 28, 2019 1,804 4,444 Dec 24, 2019 #3 Fundi ukiwa na uzoefu unaweza kujipatia kazi zako mwenyewe bila ya kuajiriwa..ili mradi tu uaminfu
Baba Kauthary Member Dec 10, 2018 33 25 Dec 24, 2019 Thread starter #4 Bella Ciao said: Fundi ukiwa na uzoefu unaweza kujipatia kazi zako mwenyewe bila ya kuajiriwa..ili mradi tu uaminfu Click to expand... Kazi zinapatikana ila huwez kuwa na uakika wa kazi muda wote mkuu.. Sent using Jamii Forums mobile app
Bella Ciao said: Fundi ukiwa na uzoefu unaweza kujipatia kazi zako mwenyewe bila ya kuajiriwa..ili mradi tu uaminfu Click to expand... Kazi zinapatikana ila huwez kuwa na uakika wa kazi muda wote mkuu.. Sent using Jamii Forums mobile app
Baba Kauthary Member Dec 10, 2018 33 25 Dec 24, 2019 Thread starter #5 Da'Vinci said: Kwahiyo tangazo lako limekamilika na unasubiri kupigiwa simu? Click to expand... Ww umeelewa ujaelewa? Sent using Jamii Forums mobile app
Da'Vinci said: Kwahiyo tangazo lako limekamilika na unasubiri kupigiwa simu? Click to expand... Ww umeelewa ujaelewa? Sent using Jamii Forums mobile app
Bella Ciao JF-Expert Member May 28, 2019 1,804 4,444 Dec 24, 2019 #6 Baba Kauthary said: Ww umeelewa ujaelewa? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Tatizo hukuweka namba za simu.. Mtu akitaka akusaidie hawezi maana adi akufate PM mpeane namba ..ina kuwa tayari ile privacy hamna tena.. ila ukiweka namba mtu anaweza kukupigia na akakusaidia pasipo wewe kujua ID anayotumia hapa Jf
Baba Kauthary said: Ww umeelewa ujaelewa? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Tatizo hukuweka namba za simu.. Mtu akitaka akusaidie hawezi maana adi akufate PM mpeane namba ..ina kuwa tayari ile privacy hamna tena.. ila ukiweka namba mtu anaweza kukupigia na akakusaidia pasipo wewe kujua ID anayotumia hapa Jf
Da'Vinci JF-Expert Member Dec 1, 2016 35,697 106,861 Dec 24, 2019 #7 Baba Kauthary said: Ww umeelewa ujaelewa? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kama ndio ww kwenye avatar basi sina haja ya kuendelea hapa kwenye uzi wako. All the best
Baba Kauthary said: Ww umeelewa ujaelewa? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kama ndio ww kwenye avatar basi sina haja ya kuendelea hapa kwenye uzi wako. All the best
Baba Kauthary Member Dec 10, 2018 33 25 Dec 24, 2019 Thread starter #8 Da'Vinci said: Kama ndio ww kwenye avatar basi sina haja ya kuendelea hapa kwenye uzi wako. All the best Click to expand... Endelea kuotea.... Sent using Jamii Forums mobile app
Da'Vinci said: Kama ndio ww kwenye avatar basi sina haja ya kuendelea hapa kwenye uzi wako. All the best Click to expand... Endelea kuotea.... Sent using Jamii Forums mobile app