elimuplatform
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,054
- 462
Iwe ualimu masomo ya uchumi au biashara na hesabu, uzoefu wa kufundisha o level miaka miwili commerce na bookeeping, miaka miwili advanced level masomo ya uchumi na BAM, Mwaka mmoja assistant Accountant, nikiwa na uzoefu wa sales and marketing pamoja na credit, elimu ni advanced diploma in accountancy, kwa unayeona ntafaa kufanya kazi na wewe nipo kwa eplat.info@gmail.com0658154647