Natafuta kazi ya kujitolea

Natafuta kazi ya kujitolea

Baby jay

Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
46
Reaction score
13
Mimi ni msichana(26)ninaishi dodoma.Elimu yangu ni shahada ya project planning managment nina uzoefu wa kazi za research.Nahitaji kupata ujuzi zaid hata kwa kujitolea.
 
huko nilishatuma nikapiga had oral wakasema nisubiri naona kimya hadi leo toka december
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom