Kujitolea ni jambo jema sana. Unawezakujitolea sehemu mbalimbali. Kusafisha shule za watoto wadogo. Kusafisha hospitali. Kuwapikia watoto yatima kwenye makazi yao.
Yaani hatankama umeajiriwa....ni vyema kutenga muda wako hata saa moja kufanya kazi za kujitolea.
Wealthier Jina lako lina reflect status yako!!! maana kila post ya aneyesaka ajira na volunteer kwa fani tofauti we unampa contact good inaelekea wewe ni Hr mkubwa saana na kampuni zako ni multipurpose hongereni wadau mlio bahatika kupewa contact na mkafanikiwa, msio fanikiwa endeleeni kutafuta link na channel:laser::cheer2: