Natafuta kazi ya kujitolea

Natafuta kazi ya kujitolea

Raza Bare

Member
Joined
Oct 18, 2014
Posts
33
Reaction score
2
Habari wana JF!

Natafuta kazi au hata sehemu ya kujitolea. Mimi ni kijana nina diploma ya computer science.

Natafuta sehemu ya kufanya kazi au hata ya kujitolea.

kwa ambaye ataweza nisaidia nitashukuru sana
Email razabare@gmail.com

Asanteni
 
GPA haina decimal mbili

Asante kwa ushauri DR MANJALA
Hii siyo GPA(grade point average)
Ni CGPA(Commulative grade point average) ambayo inapatikana baada ya kutafuta wastani(average) ya semester zote nilizosoma
 
Last edited by a moderator:
mi nna mpango wa kufungua internet cafe hapa jijin mbeya, vp uko tayari kua mhudumu?
 
Unaweza kufanya programing kwa language ngap??
 
Mpaka kupost uzi huu ni kwamba me ni graduate
So usicomment tu kuburudisha baraza blessed lenny

Samahani sana, halikuwa lengo langu. mimi nilivyoona mambo ya cummulative grade nikajua bado hujamaliza. mimi ninavyojua kama tayar umemaliza unapata GPA na si CGPA na huwa haina decimal places mbili. Pole na samahani sana halikuwa lengo langu na nina muda sijatembelea huku ndo sababu nimechelewa kukujibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom