Shule zipo kibao, nenda Stamaria salome secondary school ipo BokoNadhani mada tajwa inajielezaa nimehitimu stashahada ya sekondari ualimu wa sayansi kemia na biologia pia ni MWALIMU mzurii wa hisabatii natafta kazi ya kujitoleaa
Shule zipo kibao kweli lakini ni chache sana zinazokubali huko kujitolea maana tunatumia lugha ya kujitolea ila kimsingi tunatangaza njaa i.e we expect something in return (japo ki hela cha kuunga bundle) hapo ndo shule zinapokuwa chache sasa.Shule zipo kibao, nenda Stamaria salome secondary school ipo Boko
Nadhani mada tajwa inajieleza, nimehitimu stashahada ya sekondari ualimu wa sayansi Kemia na Biologia pia ni mwalimu mzuri wa Hisabati. Natafuta kazi ya kujitolea
aaaah Mkuu hdo tunaita ni teaching allowance acpotafuna yy bodaboda wapo watataffuna tuUnataka ukawatafune mabinti wa sec wewe usome kwa fedha alafu ujitolee tu bure
Bro navosema KUJITOLEA namanishaaShule zipo kibao kweli lakini ni chache sana zinazokubali huko kujitolea maana tunatumia lugha ya kujitolea ila kimsingi tunatangaza njaa i.e we expect something in return (japo ki hela cha kuunga bundle) hapo ndo shule zinapokuwa chache sasa.
Mungu akubariki.Bro navosema KUJITOLEA namanishaa
Mchagua jembe si mkulima. Badala ya kupiga unaanza maswaliNipo kigoma kabla sijapiga nielekeze upo mkoa ganii