Jmn wana jf! Mimi nimemaliza BBA , natafuta nafas ya kujitolea Mahal popote bila malipo,ili niwe na experience! pls naomba mnisaidie.
Apana! nimesema morogoro mjini.
nipm plsmm ni ke!
Samahan! naomba unielekeze kupm! mana hua sielew wanapm Vp ili nikupm, Bt email yangu ni jeyisdory@gmail.com
mm ni ke!
mm ni ke!
yaan akil nyingine majanga kbsa
hiyo kazi ambayo mpaka ajue jinsia yako we huwez kujiuliza ni kazi gan?na kuna siri gan hapo mpaka atake um PM?na wew unajilengesha tu et oohoo nielekeze namna ya ku Pm!!
fanya nae appointment uone kazi yake
Nipo maeneo ya SUA huku hali nzuri tu njoo nikupe kazi ya house girl lakini haitakuwa bure kabisa nitakucheki kidogo chakula kila kitu juu yangu